Jenifer na Patrick Kanumba mnawaelewa?

Jenifer na Patrick Kanumba mnawaelewa?

joti ana digrii gani au amepata ngapi form 4.. je maisha yake na maghorofa amejenga.. harusi m city bajeti milion 50...

shule sio kila kitu jombaaa.. na kila mtu akomalie shule
 
Hawa Sweden na Switzerland wote ni wasindikizaji tu.
 
Hahaha basi ajue tom Cruise anakula zaidi ya dol million 40 kwa movie moja tu.

Nachojaribu kumweleza ni talents pays more than carrier
Sasa talents za huko ulaya unataka kuzifananisha na za huku ulimwengu wa mwisho?
 
Back
Top Bottom