Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi ni kipawa si elimu!

Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi ni kipawa si elimu!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Uongozi ni kipawa na si elimu, Jenista ana kipawa cha ajabu haijawahi kutokea hivyo anatoshea kwenye nafasi hiyo.
jenista.jpeg
 
Ana kipawa gani!!? Zaidi ya CCM kubebana?? Nakuapia tukianzasha mfumo.kama.wa Kenya waku interview mawaziri itakua kiroja Cha aina yake!?? Hakuna mbunge wa CCM ataweza kupenya nakuhakikishia !!!!ndio maana wanaogopa katiba mpya!!!
 
What a comedy, waziri wa afya na education wapi na wapi...hii inchi ndio maana hatuendelei. Haiwezekani mtu mmoja awe competent kila wizara, yaani ni toka hapa nenda pale.
In maana hata Wassira ambaye toka 1975 yupo tu apishe wengine?
 
Si sawa ila ndo utaratibu wa nchi hii ninavyoona mara nyingi waziri anateuliwa kwenye wizara ambayo Hana profession nayo ila naamini katiba mpya inaweza kuweka kipengele cha waziri kuwa na qualifications za kwenye wizara anayoenda kuitumikia
Kwahiyo ni sawa , hongera sana ndugu hubble elimu uliyopata VETA imeondoa ujinga hapo kwenye moedula.
 
Aibu naona mimi
Sasa amewaletea kichina na kiarabu shule za kata huko Mpanda, yani sijui hawa ma professor wetu walishushwa ama ni special sana maana wana akili kupitiliza.
In two years watuletee kireno.
 
Back
Top Bottom