Jenista Mhagama ana heshima na unyenyekevu sana. Embu angalia hapa ujue kwanini anapendwa na kila Rais anayeingia Madarakani

Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mnyenyekevu kwote tu.kuanzia jimboni hadi Serikalini
Ukiwa Mbunge mwakilishi wa wananchi kazi yako ni kuisimamia serikali na kuhakikisha haifanyi ndivyo sivyo..., sasa ukileta habari za kujishusha kama ndio umaridadi mimi naweza kuona kama ni kuwa Mbwa mlinzi asiye na meno ( incompetent in the given Job) na Unyenyekevu huo kwa kinachoendelea kwakweli hawa watunga sera na serikali inaonyesha kiburi cha hali ya juu...
 
Kwani kuna mteule wa Samia ambaye kapewa nafasi ya uwaziri na hana heshima kwa Samia!???
 
Kinachotakiwa ni kuwahudumia Watanzania kwa nafasi aliyopewa maana kupiga magoti na kugaragara chini haitakuwa na msaada kwa Watanzania.
Huduma anaendelea kuitoa na kuleta matokeo chanya kila eneo na wizara anayopewa kuiongoza
 
Mtu ana garagara utasema yupo serious kupambania wananchi, kumbe anapigania ugali wake na familia yake.
 
Akigalagala yeye ni shukrani, tukigalagala sisi ni maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ