GE2025 Jenista Mhagama awapigia magoti wananchi Jimbo la Peramiho kuwaomba kura za ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mama huyu anapenda kupiga magoti sana! kwenye kuomba jambo lake, maana si mara ya kwanza kupiga magoti akiwa katika harakati zake za kisiasa za uchawa

Je hadi mumewe anampigia goti akimkosea au unafiki wake huku nje? 😀 😀 😀
===============
Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama amewaongoza wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Kata ya Mpitimbi, kuwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Lipaya na kuwaomba kukipigia kura za ndio CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Mhagama amewaomba wananchi kumpigia kura za ndio mgombea urais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, yeye mwenyewe anayeombea nafasi ya Ubunge pamoja na Madiwani wanaogombea kupitia CCM.
 
Kwani ni lazima watu wa Peramiho waongozwr na yeye jenista ? Huyu mama mlafi huyu!!
 
Huyu hana mume, Mumewe alifariki miaka mingi iliyopita.

Yaan anawalaza chini wababa wazima na pumbu zao, eti nao wanagalauka kweli. Huu si ni upumbavu kabisa, kisa hizo posho za elfu 50?

CCM ni LAANA.
 
Mama huyu anapenda kupiga magoti sana! kwenye kuomba jambo lake, maana si mara ya kwanza kupiga magoti akiwa katika harakati zake za kisiasa za uchawa

Je hadi mumewe anampigia goti akimkosea au unafiki wake huku nje? 😀 😀 😀
===============
Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama amewaongoza wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Kata ya Mpitimbi, kuwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Lipaya na kuwaomba kukipigia kura za ndio CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Mhagama amewaomba wananchi kumpigia kura za ndio mgombea urais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, yeye mwenyewe anayeombea nafasi ya Ubunge pamoja na Madiwani wanaogombea kupitia CCM.
Watu wabaya dunia hii,
wamemnanilii huyu mama wa watu

RIP JJM

P
 
Back
Top Bottom