Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

Mishenyi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2019
Posts
464
Reaction score
748
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
 
QUOTE="Mhakiki, post: 41336623, member: 114042"]
Huyu bibi cv zake ni kuharibu tu ilimradi anakandamiza wengi na kuufurahisha ufalme
[/QUOTE]
k
We subir uone kinachotokea May 1 kapelekwa kimkakati huyo!!! Utawala hautaki mtu anayeelekea kukubalika na anaowaongoza kama Mchengerwa !! Subiri May1 uone sasa hivi Samia ashakuwa jasiri hana tena uoga wa urais anaweza fanya chochote,,uzuri anaujua ukondoo wa wtz
 
Wakiendelea na upuuzi wao itakula kwao.
 
Katika wamama wanoko serikalin bac huyu Ni no moja yaan Ni msagaji wa kunguni haswaaa.
Since day one sijawah mwelewa huyu maza ,yaan Ni mtu wa kujipendekeza tu mwanzo mwisho ,fuatilia bungeni akiongea yaan yeye yupo upande wa serikali tu hajawahi kuwa upande wa wananchi.

Huyu ndie mtibua mipango na ndio maana anapendwa Sana na wakubwa maana ndie mtetez wao huko bungeni.

Kupewa Utumishi Ni mkakati wa mama mwenye nyumba ashaona ahadi aliohid haitekelezek Sasa dawa Ni kumpa kazi chawa apambane na watumishi.
Nina waswas Rais hata siku ya Mei mosi anaweza asitokee yaan atajiundia safar na kuwatosa watumishi kiakil Sana alafu mhagama atakuja kwa niaba kuchafua Hali ya hewa.

Kama Kuna mtumishi anaamini huu mwaka Kuna nyongeza ya mshahara asahau kabisa .

Uzuri watumishi Ni wavumilivu Sana kama waliweza kipindi Cha magu miaka 5 watashindwa Nini kwa huyu mzenziberi?

Huyu mzenziberi atakuja kuwapoza watumish had 2024 kwa lengo la 2025 na bahat nzur watumish Ni wasahaulifu na kura watampa vzr Sana na kusimamia uchaguz wao ndio watakua front.

Sema Iman yangu inaniambia huyu Rais nadhan ndie atakua Rais no moja kuwahi chukiwa na wananchi maana Hana hata mwaka lakin mtaani hakuna anayemtaka .
Mimi napenda Sana kujichanganya vijiwen lakin kila mtu anamkataa kuwa hatuna rais hapa ,na Rais ajue ukweli na ambiwe kuwa mitaani hapendwi kabisa hasa Hawa wananchi wa kawaida na ndio wapiga kura.
Kungekua na fair election huyu mama angepigwa mapema Sana sema Ni vile wanategemea Dola kuendelea kushinda na kujitangaza.

Mhagama mwalimu wa diploma pekee tu na ndie wazir ambae hakos kila Baraza ,sijui inawapa Nini wakubwa.
Kwa huyu mama Mhagama watumishi fungeni mikanda tu hapa kitu kizito kimewaangukia watumishi .
 
Back
Top Bottom