Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

Kwanza inasemekana Jenester ni mchawi,mi nilipata stori za familia yao si nzuri
 
Kuna mijamaa inaropoka humu kumbe kweli....utashangaa hili nalo kweli
Usimdharau usiyemjua
 
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
Na ikitokea mishahara imeongezwa, Jitahidi kuja kumwomba msamaha mama Jenister Mhagama.
 
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
Ha ha haaa mkuu unasema kama unamaanisha! Mama akitaka kupandisha mishahara waziri atakuwa na ubavu gani kuzuia isipande?
 
Kwahio sie watumishi tujiandae na msiba Mei mosi!😅
 
That Means It's Back To Where They Were. So Sad If It's Going To Be The Case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…