Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

Mnoko na Mduanzi!

Yani ukimfuatilia kule bungeni kwenye mijadala utachoka mwenyewe.
 
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
Hayo ni mawazo yako,mpango wa mshahara uko palepale

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
Nakichukia hicho kimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…