TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Mambo haya yaenda kirahisi sana taarifa zaandikwa kiufupi sana hakuna maelezo zaidi na taarifa hizi zote zafanana kuonyesha spika wa Bunge jinsi anavyofikiria.

Ni kama vile watu wapo kwa daktari wasubiri kuingia kule na lile neno maarufu - Next !
 
Mdude,Mzee Kibao,Polepole ,Soka , Chaula,Jacob Mlay mliwapumzisha kwa amani jinga lao?
Kuna jitu halipati usingizi kila likifumba macho linamuona Mzee Ali Kabao, Mdude Nyagali na Polepole sasa linakunywa pombe kali na kuvuta skanka bila hivyo haliwezi kulala na huu ni mwanzo tu kifutachoa litaanza kuvua nguo hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…