Jennifer Gates (24) is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates

Jennifer Gates (24) is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates

Mi wakati na miaka 24 nasaka credit za kiswahili na history.
 
Zamani kama miaka 10 iliyopita, nilimsikia Bill Gate anahojiwa na BBC, alisema pesa ni ya kwake na siyo ya watoto wake. Yuko tayari kuwasaidia watoto kufikia malengo yao ya maisha lakini wasikae wakafikiri kuna maisha bila kufanya kazi.
Sure na watoto wamechukua hiyo mentality...
 
Halaf watoto kama hao ukiwakuta school...wanakuaga na akil ila hovyo yan..huwez mzania..anaweza hata asinyooshe ngu .au kuwa na viatu vilivyochanika...
 
Kisandu ajaribu na hapa. Huenda akafanikiwa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bill Gates alichelewa sana kuoa
Sisi huku tunazaa huku mtu anawaza akizeeka mtoto aje amtunze tena anashika na calculator kabisa nakujisemea moyoni "ukioa na miaka 27 ukifikisha miaka 60 mtoto ana miaka 33" tunasahau kila kitu ni mipango na unaweza kuoa mapema na hata usivuke 40 tayari UVIKO 19 inakuondoa
 
Back
Top Bottom