AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
We mwache tu, P didy akichelewa tu, nafanya vitu vyangu, ila usimwambie wifi yako...! Ah ah ah ah.
Utaweza swegger kama za Pddy??? lol.... usiiunguze nauli.....lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwache tu, P didy akichelewa tu, nafanya vitu vyangu, ila usimwambie wifi yako...! Ah ah ah ah.
asha dii sio wewe tu
wapo wengi wanaomuona marc anthony kama gay hivi,,,,
its unfair may be but ndo hisia hizo zipo
Niliona siku moja dame analalamika mtandano (majuu) kwamba amelia sana baada ya rafiki yake mpenzi aliyekuwa na maisha mazuri sana na mumewe kazi nzuri, mshahara wa hali ya juu, nyumba kali sana, magari mawili lakini kaamua kubwanga manyanga ili kumfuata bad boy ambaye hana mbele wala nyuma muuza unga tu kula yake ya kubahatisha halafu huwa haishi kumpiga yule dada, lakini dada kaacha mume na watoto ili akawe karibu na muuza unga wake.
Hahahahahah lol! Mkuu...utayaweza lakini mambo ya mamarazzi na paparazzi 🙂 na swaggers 24/7....kila la heri mkuu
Hapo hakuna kuunguza nauli wala nini, atanifata mwenyewe uswazi....! Ah ah ah ah.Utaweza swegger kama za Pddy??? lol.... usiiunguze nauli.....lol
Hapo hakuna kuunguza nauli wala nini, atanifata mwenyewe uswazi....! Ah ah ah ah.
Mpaka hapo ushafeli mtihani .... na humpati....lol... akija uswahilini lazima utume jet...
huwezi jua labda x paster ana teknolojia ya ungo,haitaji jet lol
Boss alichofeli hapo ni ile ya kusema atafatwa.... Jlo is woman if any! Na mwanamke
anaetambua kua ni mwanamke... atasubiri afuatwe kama 1st step then zinazofuata atakufuata....lol
Nakwambia hivi, we subiri tu.Mpaka hapo ushafeli mtihani .... na humpati....lol... akija uswahilini lazima utume jet...
Ungo wa nini bana, kwani nataka kupepeta mchele...! Ni hapo mtakapo muona uswazi ndio mtajua kuwa ooh! Kumbe kweeeeli.huwezi jua labda x paster ana teknolojia ya ungo,haitaji jet lol
Ah ah ah ah, mkuu sio majidai mkuu, ndio ukweli wenyewe, japokuwa wengi hawapendi kuusikia...! ah ah ah ahUna majidai weye hahahahah lol!...utanyunyizia nini? 🙂
Siku hizi ni mapinduzi, si wanadai usawa bana, sasa hii imekula kwake tu, lazima achape rapa kuja uswazi.Boss alichofeli hapo ni ile ya kusema atafatwa.... Jlo is woman if any! Na mwanamke
anaetambua kua ni mwanamke... atasubiri afuatwe kama 1st step then zinazofuata atakufuata....lol
Nakwambia hivi, we subiri tu.
Ungo wa nini bana, kwani nataka kupepeta mchele...! Ni hapomtakapo muona uswazi ndio mtajua kuwa ooh! Kumbe kweeeeli.
Ah ah ah ah, mkuu sio majidai ndio ukweli wenyewe, japokuwa wengi hawapendi kusikia...! ah ah ah ah
Siku hizi ni mapinduzi, si wanadai usawa bana, sasa hii imekula kwake tu, lazima achape rapa kuja uswazi.
Oooh! Kumbe kuna maeneo mnakimbia...!IMO Usawa Yes... But sio katika this issue, katika mapenzi pawe na me na ke....
Boss alichofeli hapo ni ile ya kusema atafatwa.... Jlo is woman if any! Na mwanamke
anaetambua kua ni mwanamke... atasubiri afuatwe kama 1st step then zinazofuata atakufuata....lol
Oooh! Kumbe kuna maeneo mnakimbia...!
Haya dadaa, nitafata ushauri wako.
Kuonyeshwa kwamba unapendwa, unazimikiwa au siyo Asha? badala ya kujipitishapitisha 🙂
huu ni ujumbe kwa mtu mwingine nahisi lol