Jeremiah Kisubi amshauri Diarra arudi kwao week moja kujiweka sawa "mambo yetu yale ya Kiafrika"

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam yeye mwenyewe Kisubi alipokuwa simba alinyoroshwa vizuri sana na watu wa moro hadi akaomba poo, sasa huyu jamaa toka nchini Mali anajifanya mjanja siyo? Anayoroshwa huko na watu haohao wa Morogoro.

Yes habari ndiyo hiyo bwasheee, Kisubi kaandika kwa uchungu sana, au Kisubi haamini kama Diarra anafungika?

Au kalogwa kweli? kwani kale kajamaa mbona kadogo hivyo, nacho kanaloga? kanautaka u kipa namba moja?😀😂😁

kisubi.JPG
 
we unadhani ki aziz kugoma kulala avic town yeye mjinga? lakini bado wadau watakuwa wamepata angalau ka jasho kake kakatumwa kwa babu huko visiwani maaana hiiiiiii uuuwiiiiii

Nafikiri huyu ndugu yake alimtonya kwani hata hii injury yake ina mkono wa mtu
 
Uimara wa kipa unategemea ubora wa beki Liverpool alipigwa 6 golini akiwepo Allison Becka Bayern Munich kachakazwa 4 Nuier akiwepo huyo Kisubi ana mawazo potofu
 
Nafikiri huyu ndugu yake alimtonya kwani hata hii injury yake ina mkono wa mtu
Hazard karogwa na nani? waswahili mna viwanda vya uongo na majungu ulitaka aumie nani ili iwe sio uchawi, msimu uliopita John Bocco kakaa nje alilogwa?
 
Naam yeye mwenyewe Kisubi alipokuwa simba alinyoroshwa vizuri sana na watu wa moro hadi akaomba poo, sasa huyu jamaa toka nchini Mali anajifanya mjanja siyo? Anayoroshwa huko na watu haohao wa Morogoro.

Yes habari ndiyo hiyo bwasheee, Kisubi kaandika kwa uchungu sana, au Kisubi haamini kama Diarra anafungika?

Au kalogwa kweli? kwani kale kajamaa mbona kadogo hivyo, nacho kanaloga? kanautaka u kipa namba moja?😀😂😁

View attachment 2348454
Mpira hata haujui, jana beki zetu zilijisahau kufanya Marking, ndio maana magoli yote ni ya set piece. Mimi na washangaa ndugu zangu makolo wanao sema Azam walicheza mpira, mimi sijaona mpira walio cheza bali ni wa kawaida.

Ila aliye waokoa Azam ni Kipa, kipindi cha kwanza alicheza mipira mingi ya hatari,jana kipa wa Azam alikuwa bora sana la sivyo tungewapiga nne au tano.
 
Back
Top Bottom