Jeremiah Masanja: Mbowe "Atalazimishwa kuondoka CHADEMA". Lissu namfahamu tumesoma naye, Mbowe namfahamu tumecheza naye muzik Billcanas Club enzi hizo

Sagia Kunguni Kaka Saga
 
Kumbe alikuwa mcheza mziki! Siasa aliingiaje?
 
Lisu hatufai chadema, aende kwenye vyama vingine.
 
Mbowe akubali tu kuwa kaingizwa mkenge. Bora aamue kujitoa ktk kinyanganyiro au akubali Demokrasia ichukuwe mkondo wake bila kuingiza mkono lakini akishindwa akubali na kumbariki Lisu aongoze chama.
 
wakuu ,mlishawahi kuruka mkojo na kisigino kikakanyaga inya(titwaji)...
 
Tatizo ulaji wa punda, limeadhiri sana upstairs maeneo
Huko ni Iramba kwa kada mwenzako Mwigulu Mchemba, lakini nyama ya Punda Farasi Punda Milia mbona ni kawaida tu labda kama ingekuwa nyama ya Nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…