Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL.
Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game.
Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74 kuchukua nafasi ya Bilal El Khannous katika mchezo ambao Leicester City alifungwa 3-0 dhidi ya Newcastle Utd.
==================================================
15-year-old Jeremy Monga comes on for Leicester to become the second-youngest player in Premier League history.
So young he can't have a gambling sponsor on his shirt 🚫