😛Jerry muro kusikia neno Banka limemchanganya alidhani sijui yule kiungo wa zamani wa yanga na simba Mohammed Banka
Ndugu Jerry Muro huyu ni Mohammed issa Banka mzenji aliye perform vizuri michuano ya Challenge na Zanzibar heroes na ni mdogo tu sijui miaka 23 na wala sio veterani wala mzee
Mzee siku nyingine usikurupuke [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 807107
be third to replyamefulia huyo anataka kiki
AM HEREbe third to reply
AM HERE[/QUOTEhivi jose kapotelea wapi