py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Jerry muro kusikia neno Banka limemchanganya alidhani sijui yule kiungo wa zamani wa yanga na simba Mohammed Banka
Ndugu Jerry Muro huyu ni Mohammed issa "Banka" mzenji aliye perform vizuri michuano ya Challenge na Zanzibar heroes na ni mdogo tu sijui miaka 23 na wala sio veterani wala mzee na jina la Banka kabatizwa kwa aina yake ya uchezaji unafananishwa na wa Mohammed simba Banka
Banka kastaafu mpira muda na wala hajishugulishi na soka sasa
Mzee siku nyingine usikurupuke [emoji23][emoji23][emoji23]