Jerry Muro ameiaibisha nchi, TFF, Yanga na Wanataaluma..ajiuzuru!

Nilikuwa naelekea kuichukulia habari yako serious hadi ulipoingiza simulizi za Mganga wa Kienyeji!!
 
Kwann alitaka mchezo uchezwe saa moja usiku?
Mwezi Mtukufu huu ndugu! Si tu itawapa fursa mashabiki bali hata kama kuna wachezaji waliofunga watakuwa washafungulia japo kwa maji na tende!
 
huyu ni shabiki wa simba damu aliwahi kutoa post moja akisema ana achana na simba hadi matatizo kadhaa yakitatuliwa pia alidai walisha wahi kuchinja hadi PAKA ili simba ishinde

Watu wenye kumbukumbu kama Wewe mnahitajika sana " sehemu sehemu " katika idara za ulinzi na usalama wa taifa lako hili. Vipi bado tu hawajakuona ili uwe recruited?
 
Nilikuwa naelekea kuichukulia habari yako serious hadi ulipoingiza simulizi za Mganga wa Kienyeji!!

Kwahiyo kama kweli Yanga tunaroga huku Chalinze kwa huyu Mganga Mzee " midabwada " tusiseme ukweli? Na leo tumepewa kazi ya kutafuta mzoga wa Fisi au makamasi ya Chatu ili tumpelekee " Babu " la sivyo TP Mazembe wanaenda kutupiga wiki au wiki na siku zake mbili. au Wewe ni Simba Mkuu? Hebu tuachie wenye Yanga yetu tuhangaike kupunguza magoli ya akina Kalaba Jumanne ijayo.
 

Unaonekana we ni mkia maswala ya kinyota na kiganga yanakujaje hapa
 
Unaonekana we ni mkia maswala ya kinyota na kiganga yanakujaje hapa

Nitake radhi upesi sana Mkuu kwani Mimi ni Yanga tena wa kugala gala kabisa. Utaniudhi halafu nitaghairi kutafuta mzoga wa Fisi au Makamasi ya Chatu ili yatusaidie kumdhoofisha Kalaba Jumanne halafu tupigwe seven ( 7 ) o'clock.
 
Nitake radhi upesi sana Mkuu kwani Mimi ni Yanga tena wa kugala gala kabisa. Utaniudhi halafu nitaghairi kutafuta mzoga wa Fisi au Makamasi ya Chatu ili yatusaidie kumdhoofisha Kalaba Jumanne halafu tupigwe seven ( 7 ) o'clock.
saba bila nadhani unaota,kawatafutie ndugu zako mikia hayo makamasi ya chatu maana naona msimu ujao mtakuwa WA nne
 
Ukishajua itakusaidia nini?

Yaani ngonjera zooote hizo ni hako kajambo kamoja tu ka Mheshimiwa Jerry Muro kukosea ratiba ya CAF? Hivi kwa akili yako na ushabiki maandazi wako, ni mara ya kwanza kwa kosa kama hili kutokea duniani.

Kuna watu msipomtaja Mhe. Jerry Muro hamna raha. Eti ameliaibisha taifa. Ishu ya tarehe ya mchezo na kukosa sukari lipi jambo kubwa la mtu kujiuzuru? Hovyooooo!
 
Okay kama mechi ni tarehe 28 basi Yanga itabidi wapande ndege tarehe 25 kutoka uturuki ili waweze kupata muda wa kupumzika na kujiandaa kwa mechi.
 

Mkuu mchezo huu hauhitaji hasira! Hasira zako za Bejaia mpelekee Kipa wako Deo Munishi " Dida ". Jumanne dhidi ya TP Mazembe tunataka tumweke Ally Mustapha " Barthez " vipi unaona atatusaidia kupunguza idadi ya magoli? Nasubiri maoni yako ili niyafikishe kwa " tumbo tumbo " Hans na Juma ili tusiumbuke.
 
Okay kama mechi ni tarehe 28 basi Yanga itabidi wapande ndege tarehe 25 kutoka ugiriki ili waweze kupata muda wa kupumzika na kujiandaa kwa mechi.

Mkuu ulivyosema Ugiriki siyo siri umenishtua sana na sasa nabaki kusikitika na kuumia kwani sifa KUU ya Wagiriki hapa duniani inajulikana. Sijui kama Thabani Kamusoko na ile tabia yake ya kupenda kubinua binua " makalio " yake hovyo akishangilia goli kapona. Shikamooni Wagiriki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…