Jerry Muro ameiaibisha nchi, TFF, Yanga na Wanataaluma..ajiuzuru!

post ya kimbumbumbu kutoka kwa shabiki mbumbumbu ,wa mbumbumbu fc.
 
Watu wenye kumbukumbu kama Wewe mnahitajika sana " sehemu sehemu " katika idara za ulinzi na usalama wa taifa lako hili. Vipi bado tu hawajakuona ili uwe recruited?
Bado mkuu nifanyie mpango.....vip mbona simba wanasajili bila kuwepo kocha mkuu wanasajili kwa maelekezo ya nani?
 
GENTAMYCINE wewe tunakujua ni shabiki wa kutupwa wa Chura fc a.k.a Simba,haya tuambie lini umeanza kuishabikia Yanga?
 
GENTAMYCINE wewe tunakujua ni shabiki wa kutupwa wa Chura fc a.k.a Simba,haya tuambie lini umeanza kuishabikia Yanga?

Ilipofungwa tu na Bejaia na nitaipenda zaidi Yanga ikifungwa hizo goli saba ( 7 ) au tisa ( 9 ) na TP Mazembe Jumanne ijayo ya tarehe 28, June 2016 saa 10 jioni.
 
Hehehehe! Vip tena Wakimataifa mbona naona mna laumiana???? Mnafarakana hehehehe
Nyie subirini TP kuja kuwavua..ch... nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…