Jerry Muro amekubali yaishe, arejea mjini na kusema haya

Ameandika haya instagram


Kila nikifikiria figisu za soka la Bongo aisee nachoka kabisa, let me walk away for a while though I will be missing my fans and my people wa kimataifa but I must walk away for a while,”
Funs au Fans??
 
My funs.
Huyu ndo alisema ana masters toka nchi 3.!!
Hapo sasa, with his three masters he is a failure, ameshakuwa ni ghostworker one year away na bado atakauwa analipwa, yanga shtukeni upesi
 
Ameandika haya instagram


Kila nikifikiria figisu za soka la Bongo aisee nachoka kabisa, let me walk away for a while though I will be missing my fans and my people wa kimataifa but I must walk away for a while,”

Haya alikuwa hayajui? Sasa ili ajue kuwa Watanzania UNAFIKI ni ASILI yetu sasa wale wote ambao walikuwa wakimsifu na kumpandisha " mzuka " kupovuka vile wote watamkwepa na kuwa wanamcheka na pengine hata kumwona " juha ". Kama sasa tu ni wiki moja imepita tayari ameshaanza " kusahaulika " vipi ikifika miezi mitatu? Atafute KAZI ya kufanya halafu si anasemaga kuwa yeye ni MSOMI wa KIWANGO cha JUU na kwamba ana MASTERS DEGREE? Sasa tunamtaka aitumie hiyo ELIMU yake ili tuupime huo USOMI wake wa kuunga unga.
 
anautani wa kukera, alikuwa ananikwaza anamvomfanyia Manara
Umeona eeh?! Ila nina hakika kabisa kuwa Manara atam-miss huyu jamaa maana walikuwa kama Pwagu na Pwaguzi
 
Sidhani kama usomi unaingiliana na haya mambo, kuandika funs yatupasa tu kuelewa hiyo ni spelling error lakini alikuwa na maana ya fans, kwani kukosea tumeumbiwa binadamu hakika asiyepo machoni na rohoni hayupo.....leo hii msemaji wa timu ya kimataifa anaonekana mara alikuwa anajidai,mara sijui nini daaah tatizo letu huwa tunashindwa ku appreciate mtu hata kama kafanya dogo jema.....akipata tatizo moja ndo basi anaonekana mbaya daima ,tuweni waungwana
 
Aende tu akamalizie masters degree ya nne. 'Funs' wake tutamsubiri arudi
 
h
huo ni unazi wa kifala.
 
vip mkuu leo tena upo simba? ulisema wew ni mtu wayanga
 
Kumbe na wewe ni waukae sekulu? [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…