Jerry Muro amtusi tena Haji Manara


Lakini moja kati ya malalamiko ya Malalamikaji Haji Manara ni kwamba Tambwe alimnyoso Singano, sasa sijajua yeye kinamhusu nini na nadhani mpk hapo utagundua nani anawashwa na pilipili asiyoila.

Shida yenu Simba Koko ni uswahili. Kulalama kama watoto wa nyumba ndogo. Uwanjani tumeshawafanya 'manyuar' sasa sijui mnataka tuwa'do' na wapi mridhike.
 
Tunashukuru kwa kuwapotezea muda Walimu wako wa SHERIA huko Chuo Kikuu kwani umeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kiakili na umeivamia hiyo fani. Siku hizi kila mtu ni mwanasheria.

Kiukweli mimi si mwanasheria na wala sijawahi kusoma sheria, nilichokua najaribu kukionesha ni namna gani tutasema Muro anamzungumzia Manara wakati hakuna sehemu katika quote ya maneno ya Muro inayotaja jina la Manara. Kilichopo hapo ni hisia tu, sasa hilo la mimi kuwapotezea muda sijui walimu wa sheria huko chuo kikuu naona halina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…