Klabu kama yanga unadhani inastahili msemaji wa aina gani? stail ya jerry muro ndio kitu ambacho mashabiki wao wanataka kusikia,maisha yetu bado yanenda kiswahiliswahili,hao kina tibohora na watu wengine ambao umedai wako makini ndanio ya yanga,ilikuaje wamuajiri murro???soka kwetu ni fitna ,mipasho,kejeli na vijembe....jerry muro sio pekee kwa kifupi mambo yetu meng ya soka yanakwenda ndivyo sivyo na ndio staili ya maisha..msemaji kama massau bwire...daH!!!!!