Jerry Muro; Ana tatizo la kisaikolojia, Asaidiwe

Jerry Muro; Ana tatizo la kisaikolojia, Asaidiwe

wakati mwingine Jerry Yuko sahihi kwani baba Mwanaisha na majipu manufacturing si ni MTU Wa pwani ndugu Wa wazaramo.HIV manara yeye mbona naona kama ndo jiipu kabisa,?
Hujakosea sana saa nyingine manara nae hua anazingua kiasi chake
 
Klabu kama yanga unadhani inastahili msemaji wa aina gani? stail ya jerry muro ndio kitu ambacho mashabiki wao wanataka kusikia,maisha yetu bado yanenda kiswahiliswahili,hao kina tibohora na watu wengine ambao umedai wako makini ndanio ya yanga,ilikuaje wamuajiri murro???soka kwetu ni fitna ,mipasho,kejeli na vijembe....jerry muro sio pekee kwa kifupi mambo yetu meng ya soka yanakwenda ndivyo sivyo na ndio staili ya maisha..msemaji kama massau bwire...daH!!!!!
 
wakati mwingine Jerry Yuko sahihi kwani baba Mwanaisha na majipu manufacturing si ni MTU Wa pwani ndugu Wa wazaramo.HIV manara yeye mbona naona kama ndo jiipu kabisa,?

nasikia manara ni mmanyema, I mis Mwina kaduguda
 
Back
Top Bottom