Nilianza kuwa na wasiwasi siku nyingi lakini sasa nimejiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa Jerry Murro hastahili kushika nafasi aliyo nayo pale Yanga. Anaweza kuwa na elimu (knowledge) ya mawasiliano ya umma lakini uzoefu wa usemaji wa klabu kubwa kama Yanga na uwezo wake binafsi kama mtu yaani behavioural competencies unakataa Jerry kuwa msemaji wa timu inayotamani kufikia level ya TP Mazembe, Al Ahly n.k
Kwa muda mfupi amedhihirisha hana busara, si muungwana, hana ushawishi wa maneno, ni mtukanaji, mpenda sifa, mropokaji, na hana ukomavu ktk nafasi aliyo nayo.
Ukiwa na wanataaluma kama Dr Tiboroha, na Clement Sanga, Hans van Pluim au hata Yusuph Manji halafu hawa wawe wanasemewa na mtu aina ya Jerry Murro unagundua kuwa anabaki kuwa liability zaidi kuliko asset hivyo uongozi wa Yanga umsaidie huyu kijana kisaikolojia na kumpunguzia majukumu hadi hapo atakapopevuka zaidi.
Ni mtazamo tu lkn