Jerry Muro analiaribu soka la Tanzania, wahusika mtazameni kwa umakini.

Jerry Muro analiaribu soka la Tanzania, wahusika mtazameni kwa umakini.

Hzo fujo zitaletwa na mashabiki wa Tp mazembe au,maana sidhani kama mashabiki wa mazembe watakuwa wengi kiasi hicho cha kuleta tabu.huo utaratibu wa kuongea sana imekuwa fashen ya wasemaji wa timu zetu ikumbukwe wakina kifaru na wengine wote walikuwa wanaongea sana na mashabiki wakawa wanapenda ila sasa hv jerry muro kwakuwa anaongea pekeyake(wasemaji wa timu nyingine hawana cha kuongea kwasababu ligi imeisha)ndio inakuwa nongwa
 
Viongozi wa soka hawaendeshwi kwa maneno ya wasemaji wa klabu,uongeaji sana ni udambwi udambwi wa soka
 
Mti wenye matunda matamu hugombaniwa, wivu kwani yanga kwa sasa ilivofikiwa haina mpinzani semeni coz hamna namna
 
Mashabiki wa Yanga waswaahili sana na wapenda fujo,wanywa ghahawa na kila ki2
 
Tatizo la huyu jamaa linatokana na kutojiamini, ndio maana mara nyingi anaonekana yupo kwenye malumbano ambayo hayana kichwa wala miguu, masaa yote anahamaki ovyo tu na kutafuta wa kulahumu - uwezi kumlinganisha na mtoto wa Manara ambaye wakati wote yuko level headed na anazungumza substance, wakati mwingine ujiuliza hivi huyu Muro ana background yoyote katika masuala ya mpira au anajilazimisha kwa maslahi binafsi tu.

Maigizo ya Muro unikumbusha Waziri wa Saddam Hussein one Comical Ali - namshauri ajirudi mambo ya drama hayawezi kuendeleza kandanda ya Club yake hata siku moja
 
Mechi ya Yanga na Tp Mazembe itafanyika Dar na kwa mujibu wa taratibu za Fifa,Cuf na vyama vya soka mwenyeji ndiye anayetemea kukusanya mapato na mhusika mkuu wa mechi hivyo ilikuwa busara itumike Tff na Azam waketi na Yanga ili kuweka mikakati ya kurusha mpira husika kwa nia ya kuiongezea mapato ambayo yatasaidia Yanga kushiriki mashindano husika,Tff na Azam Tv ni madalali ambao hawana cha kupoteza endapo mapato yatakuwa kiduchu ktk mechi hiyo. Tuache ushabiki usiokuwa na tija kwani msemaji wa Yanga ni Jerry Muro wala siyo Afred Lucus ambaye yeye anatakiwa asemee Tff na Timu zake za Taifa. Azam Tv wanauza ving'amuzi, ada za kila mwezi na Matangazo hivyo lazima waweke terms ambazo mhusika mkuu atafaidi siyo Tff ambaye atoi hata cent kusaidia vilabu kugharamia maandalizi ya mechi
 
Jerry muro ni kilaza. Hajui lolote kuhusu mpira. Anajambajamba tu maredioni.
TFF wamemlea sana. Hivi ile kesi iliishia wapi? Hivi alilipa ile 5m?
 
Mnamuonea Muro bure.......anayemlipa mpiga ngoma ndio huchagua wimbo.
 
Mtoa mada unasema moderators wautunze uzi huu kwa ajili ya kumbukumbu, nikwambie tu umechelewa sana. Unabii kuhusu anguko la huyu mtu lilishatolewa zamani, na kama kawaida watu wakapuuza na wengine kuchukulia poa. Ila taratibu watu wataelewa tu na kwa bahati mbaya mashsbiki wake watakuwa ndio wa mwisho kumwelewa wakati itakuwa too late!

Unafahamu historia ya Muro katika tasnia ya habari? Unafahamu amepata matatizo mangapi kwa kiherehere chake?
 
Mtoa mada unasema moderators wautunze uzi huu kwa ajili ya kumbukumbu, nikwambie tu umechelewa sana. Unabii kuhusu anguko la huyu mtu lilishatolewa zamani, na kama kawaida watu wakapuuza na wengine kuchukulia poa. Ila taratibu watu wataelewa tu na kwa bahati mbaya mashsbiki wake watakuwa ndio wa mwisho kumwelewa wakati itakuwa too late!

Muro anazidi kupunguza maisha yake ya soka kadiri sku zinavyosonga, muda sio mrefu huyu atauaga mpira wetu.
 
kama naneno yanaharibu soccer bac mourinho muharibifu wa kwanza
Mourinho hawahamasishi mashabiki wake kukaa sehem yoyote uwanjan bila kuwaheshim mashabiki wa timu pinzan, Mourinho habishani na viongozi wa FA kwa kuweka ligi ya kuoneshana vyeti.
Vile vile mourinho hawezi kuwa mbumbumbu kwa kudhani kuwa Man U ni kubwa kuliko UEFA.

Muro anasema hakuna CAF bila Yanga anasahau kwamba Yanga haina historia yoyote kwenye mpira wa Africa
 
Kumfananisha Muro na Mourinho ni mbingu na ardhi. Labda mourinho na Julio
 
Back
Top Bottom