Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mtoa mada unasema moderators wautunze uzi huu kwa ajili ya kumbukumbu, nikwambie tu umechelewa sana. Unabii kuhusu anguko la huyu mtu lilishatolewa zamani, na kama kawaida watu wakapuuza na wengine kuchukulia poa. Ila taratibu watu wataelewa tu na kwa bahati mbaya mashsbiki wake watakuwa ndio wa mwisho kumwelewa wakati itakuwa too late!

Mourinho hawahamasishi mashabiki wake kukaa sehem yoyote uwanjan bila kuwaheshim mashabiki wa timu pinzan, Mourinho habishani na viongozi wa FA kwa kuweka ligi ya kuoneshana vyeti.kama naneno yanaharibu soccer bac mourinho muharibifu wa kwanza
Mourinho hawahamasishi mashabiki wake kukaa sehem yoyote uwanjan bila kuwaheshim mashabiki wa timu pinzan, Mourinho habishani na viongozi wa FA kwa kuweka ligi ya kuoneshana vyeti.
Vile vile mourinho hawezi kuwa mbumbumbu kwa kudhani kuwa Man U ni kubwa kuliko UEFA.
Muro anasema hakuna CAF bila Yanga anasahau kwamba Yanga haina historia yoyote kwenye mpira wa Africa