Jerry Muro arudi tena TBC kutangaza

Jerry Muro arudi tena TBC kutangaza

usikurupuke kusema kijans unatakiwa ujipange tenaa hajarud tbc kutangaza ila jamaa ni host wa sumatra wao kama wao wanaandaa kipind kipnd cha mahojiano kuhusu sumatra vinapelekwa itv na tbc na kurushwaa ni sawa na ephraim kibonde na kipnd cha maisha ni nyumba kinavyorushwa itv unaweza kusema kahama clouds kwenda itv kumbe tofaut jifunze kutofautisha mtangazaji permanent na kipnd maalumu
daah hiyo Avatar yako imenochangamsha nafsi sana.....
 
Jamani acheni kijana afanye kazi, angekaa mtaani na kuomba omba pia ingekuwa story, kaamua kujipa kibarua mnasema vibaya haaa, tena bora karudia fani yake maana ndio alichosomea. Piga kazi Muro.
 
Back
Top Bottom