DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Kabla ya kuropoka ulimuelewa gwajima!Ubunge hapati, amekwisha lifahamu, tuangalie kwa pande zote mbili ALICHOKIONGEA kinatakiwa kufanyiwa kazi, na mambo haya yakome , yaishe.
Mbona anazungumza kama anapumuliwa?Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji
Sasa hawa matapeli ndio wakujibu zile hoja za Gwaji?Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji
huyu hata sio wa kumsikiliza.Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji
Wajibu hoja waache viroja.Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji
Spika ameruhusu utekaji ujadiliwe bungeni?Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji
Huenda amemuelewa but anafanya spinning kwa staili ya counter attackJerry murro.
Amma hujamuelewa gwajima
Au waliokutuma hawajakuelekeza vizuri.
Jifunze kuelewa kabla ya kujibu
Muro Mi na uelewa, kaja kumchojoza gwiji ili atoe Yale aliahidi kwenye press aseme.... Mwache I Muro a challange Gwiji boy ili upupu utolewe wote...Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji
Nawe Mbuzi tunakukumbuka ulikuwa unatembea na pingu ulipokuwa mwandishi wa habari ! File lako liko Hague orodha ya watekaji!Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji
Acha kurejea kwenye Vitabu Vitakatifu maana yeye kaweka wazi kuwa anaongea kama mtu wa kawaida.Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji