Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Saa mbovu imepatia majira!Ubunge hapati, amekwisha lifahamu, tuangalie kwa pande zote mbili ALICHOKIONGEA kinatakiwa kufanyiwa kazi, na mambo haya yakome , yaishe.
Saa mbovu imepatia majira!Ubunge hapati, amekwisha lifahamu, tuangalie kwa pande zote mbili ALICHOKIONGEA kinatakiwa kufanyiwa kazi, na mambo haya yakome , yaishe.
Muro unataka kugomea ubunge Jimbo la Hai,hutapata JimboMwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Muro amesema hayo akijibu hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa Mei 24, 2025 alipozungumzia masuala mbalimbali ikiwemo matukio ya utekaji