PreGE2025 Jerry Muro: Askofu Gwajima najua kuna kitu unakitafuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama kawaida yenu mmeanza kum dis mwanachama wenu aliyetoa maoni yake kinyume na nyie. Tulieni Gwajima yuko sahihi wala msimjibu upupu mtaonekana makuwadi. Ni bora mkae kimya tu, mkianza kubwabwaja maneno kinzanifu mtanzua mengine mapya
 
Uamuzi wowote utakao ufanya maishani mwako utawajibika nao

Any decision you make in life you will be responsible for it
 
Muro unataka kugomea ubunge Jimbo la Hai,hutapata Jimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…