Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Msemaji wa Yanga Jerry ametimuliwa na klabu hiyo kwa utovu wa nidhamu uliokithiri.
Source: RFA-Magazetini
Source: RFA-Magazetini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikiwa naandika humu mapungufu yake huwa nashambuliwa sana haya sasa kumekucha na sijui mtamtetea vipi tena humu. chezea yanga wewe!
Katibu mkuu wa yanga amekanusha kupitia e fm leo asubuhi...vipi nyie huko,mshamalizana na yatima kuhusu ule mkata mliofoji?nikiwa naandika humu mapungufu yake huwa nashambuliwa sana haya sasa kumekucha na sijui mtamtetea vipi tena humu. chezea yanga wewe!
Katibu mkuu wa yanga amekanusha kupitia e fm leo asubuhi...vipi nyie huko,mshamalizana na yatima kuhusu ule mkata mliofoji?
ili uone kuwa kuna mchezo unachezwa siku zote kitenge pakiwa tu na ishu nzuri ya yanga atafanya kila njia aweze kumpigia mpuuzi mwenzie jerry murro na aongee live e fm lakini leo ameonyesha ni kwanini yeye siyo ridhiki ( hapa nadhani mliokaa na kukulia mjini mmenielewa isipokuwa kwa mapoyoyo tu ) kwani badala ya kumpigia murro moja kwa moja ili azungumze na aseme ukweli yeye kampigia simu tiborowa ambaye ndiyo ana bifu la chini chini na murro ili azungumze wakati tunajua wazi kuwa tiborowa lazima tu angezuga na kukanusha. kitenge ameshindwa nini leo kumpigia simu jerry murro mwenyewe azungumze? hakuna asiyejua bifu la murro na tiborowa na hata kama murro akijifanya kung'ang'ania hapo yanga ajue kuwa amekalia tu kuti kavu na kama habari hiyo iliyoandikwa ni ya uwongo au ya kupotosha mbona sijaona au hata tu kusikia yanga wakipanga kulichukulia hatua za kisheria hilo gazeti na haswa huyo mwandishi ambaye binafsi namfahamu kuwa ni mwanachama mkubwa tu wa yanga na ndiyo katibu wa yanga tawi la mbagala ( namhifadhi jina lake nisije kumuharibia kitumbua chake ). ila siyo mbaya tunamkaribisha jerry murro simba sports club aje tumpe kazi ya kufua jezi na kusafisha vyoo vyote vya pale klabuni kwa mshahara hata wa tsh milioni 3 kwa mwezi.
Jerry Murro asafishe vyoo vya mikia kwa mshahara wa millioni tatu! Ama kweli washabiki wa mikia ni tatizo!
wewe ulitaka tumpe kiasi gani? basi tutamwongezea milioni na tutampa sasa milioni 4 au? simba sasa tuna hela hadi tunawaza tuzifanyie nini.
Msemaji wetu jery muro bado yuko yanga,na ataandamana na wAchezaji kwenda nje ya nchi kwaajili ya mechi tote za kimataifa...mtasubiri sana wamchangani