Jerry Muro atimuliwa Yanga kwa utovu wa nidhamu

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Msemaji wa Yanga Jerry ametimuliwa na klabu hiyo kwa utovu wa nidhamu uliokithiri.

Source: RFA-Magazetini
 
Mwnyw nimesikia gazeti la Uhuru ndo limeandika hyo habari
 
Yule wa mikia naye lini?

Maana yule ana mdomo mchafu kinoma
 
nikiwa naandika humu mapungufu yake huwa nashambuliwa sana haya sasa kumekucha na sijui mtamtetea vipi tena humu. chezea yanga wewe!
 
Msemaji wetu jery muro bado yuko yanga,na ataandamana na wAchezaji kwenda nje ya nchi kwaajili ya mechi tote za kimataifa...mtasubiri sana wamchangani
 
nikiwa naandika humu mapungufu yake huwa nashambuliwa sana haya sasa kumekucha na sijui mtamtetea vipi tena humu. chezea yanga wewe!

Ngoja kwanza mopao umeshapeleka mchango kwa mgonjwa
 
nikiwa naandika humu mapungufu yake huwa nashambuliwa sana haya sasa kumekucha na sijui mtamtetea vipi tena humu. chezea yanga wewe!
Katibu mkuu wa yanga amekanusha kupitia e fm leo asubuhi...vipi nyie huko,mshamalizana na yatima kuhusu ule mkata mliofoji?
 
hivi kwa nini msemaji wa timu asiwe kocha au kocha msaidizi , kuliko kuwapa hawa vichaa hizo kazi
 
Kweli muro nimeamini kiboko ya wala hela ya yatima na marehemu,mkiya fc.
 
Katibu mkuu wa yanga amekanusha kupitia e fm leo asubuhi...vipi nyie huko,mshamalizana na yatima kuhusu ule mkata mliofoji?

ili uone kuwa kuna mchezo unachezwa siku zote kitenge pakiwa tu na ishu nzuri ya yanga atafanya kila njia aweze kumpigia mpuuzi mwenzie jerry murro na aongee live e fm lakini leo ameonyesha ni kwanini yeye siyo ridhiki ( hapa nadhani mliokaa na kukulia mjini mmenielewa isipokuwa kwa mapoyoyo tu ) kwani badala ya kumpigia murro moja kwa moja ili azungumze na aseme ukweli yeye kampigia simu tiborowa ambaye ndiyo ana bifu la chini chini na murro ili azungumze wakati tunajua wazi kuwa tiborowa lazima tu angezuga na kukanusha. kitenge ameshindwa nini leo kumpigia simu jerry murro mwenyewe azungumze? hakuna asiyejua bifu la murro na tiborowa na hata kama murro akijifanya kung'ang'ania hapo yanga ajue kuwa amekalia tu kuti kavu na kama habari hiyo iliyoandikwa ni ya uwongo au ya kupotosha mbona sijaona au hata tu kusikia yanga wakipanga kulichukulia hatua za kisheria hilo gazeti na haswa huyo mwandishi ambaye binafsi namfahamu kuwa ni mwanachama mkubwa tu wa yanga na ndiyo katibu wa yanga tawi la mbagala ( namhifadhi jina lake nisije kumuharibia kitumbua chake ). ila siyo mbaya tunamkaribisha jerry murro simba sports club aje tumpe kazi ya kufua jezi na kusafisha vyoo vyote vya pale klabuni kwa mshahara hata wa tsh milioni 3 kwa mwezi.
 
Jerry Murro asafishe vyoo vya mikia kwa mshahara wa millioni tatu! Ama kweli washabiki wa mikia ni tatizo!
 
wewe ulitaka tumpe kiasi gani? basi tutamwongezea milioni na tutampa sasa milioni 4 au? simba sasa tuna hela hadi tunawaza tuzifanyie nini.
 
Huyu dogo anaponzwa na majigambo yake kama Zito na Mrema,,ya mara nilifanya,nita.,e.t.c
 
Back
Top Bottom