Jerry Muro: From ITV to TBC1

Jerry Muro: From ITV to TBC1

Eee bwana huyu mshkaji nilikua na mzimia sana.
 
hata mimi nilikuwa namkubali sana aisee, sijui kazamia wapi huyu.
 
aise mie jerry nimemuona kwa mara ya mwisho pale siku ya ijumaa iliyopita trh 16-10-09 mchana pale mango; alikuwa na demu mmoja white kama mnyassa vile; yule demu ana tatoo zinaonekana wazi wazi sijui kama ni demu wa heshima au la; ila walipendeza; bahati mbaya kale kapicha siwezi kukaweka hapa; ila baada ya msosi waliondoka zao kuelekea kusikojulikana; hata mie nimemiss ktk tv maana namkubali ni kama yuko wazi sana na mambo ya kijamii ameokoa jahazi sana pale ITV; jamani au yuko likizo ya muda mrefu???
 
demu wa heshima anakuaje mkuu, ana alama gani usoni?, au mtu kua na tatoo ni kukosa hishma?, mtake radhi demu wa mshkaji bana.
 
Alikuwa anaripoti sana habari za pale Kisutu, sasa sijui ...
 
Nasikia yuko StarTV, kule ITV alikuwa anafanya kwa makubaliano maalumu.
 
aise mie jerry nimemuona kwa mara ya mwisho pale siku ya ijumaa iliyopita trh 16-10-09 mchana pale mango; alikuwa na demu mmoja white kama mnyassa vile; yule demu ana tatoo zinaonekana wazi wazi sijui kama ni demu wa heshima au la; ila walipendeza; bahati mbaya kale kapicha siwezi kukaweka hapa; ila baada ya msosi waliondoka zao kuelekea kusikojulikana; hata mie nimemiss ktk tv maana namkubali ni kama yuko wazi sana na mambo ya kijamii ameokoa jahazi sana pale ITV; jamani au yuko likizo ya muda mrefu???

Out of Topic.
 
Naye ni Celebrity?

Yaani siku hizi thread zinazoanzishwa humu za ucelebrity zinachekesha kweli kweli. Kila mtu naona bongo ni celebrity, hata mimi Pretty nitakuwa celebrity naona.
 
Huyo kijana yuko hapa mjini,nilimuona jumapili amekaa pale kwenye magogo ya mnazi ,samaki samaki,mlimani city.kweli kazi yake tinai miss.mwenye habari zaidi atuhabarishe jamani.
 
huyu jamaa kaona kule ITV wanamzingua kwa hiyo ameamua kuanza mbele, maana anajituma sana katika kazi halafu wanamlete zengwe, kaza buti Jery
 
aise mie jerry nimemuona kwa mara ya mwisho pale siku ya ijumaa iliyopita trh 16-10-09 mchana pale mango; alikuwa na demu mmoja white kama mnyassa vile; yule demu ana tatoo zinaonekana wazi wazi sijui kama ni demu wa heshima au la; ila walipendeza; bahati mbaya kale kapicha siwezi kukaweka hapa; ila baada ya msosi waliondoka zao kuelekea kusikojulikana; hata mie nimemiss ktk tv maana namkubali ni kama yuko wazi sana na mambo ya kijamii ameokoa jahazi sana pale ITV; jamani au yuko likizo ya muda mrefu???

Likizo iliyochanganyika na kadi nyekundu humohumo.
 
Nadhai hizo zote ni Blaa Blaa. Cha muhimu ni kujua yuko wapi na anafanya nini kutokana na kutoonekana ITV kwa muda mrefu
 
mie nilisoma udaku kuwa alikuwa masomomoni uingereza aliporudi tu akapigwa mkawara kuingia ofisini alistopishwa kazi
sijui ni kwa sababu ?aliye na data kamili atuhabarishe hata mie nilipenda sana kazi yake
 
hata mimi nilisikia udaku huo, unajua ITV ukiomba ruhusa ya kwenda shule unaambiwa na kazi basi, mabosi hawataki challenge
 
Naye ni Celebrity?
A celebrity is a person who is famously recognized in a society or culture.

Generally speaking, a celebrity is someone who gets media attention and most frequently has an extroverted personality.

The desire to be notable is implied by some[who?] to be a part of Western culture and more specifically the American Dream as a measure of success.[citation needed] A celebrity that shies away from the public eye or keeps a very separate private life is called a reluctant celebrity.

At the other end of the spectrum, a celebrity that seeks out publicity for him- or herself is often called a media tart, whereas one that uses his or her private life as a vehicle for enhanced celebrity status, sometimes desperately, is referred to as a media *****.

Examples of this are fake or planned relationships, reality television appearances, celebrity nudity and in extreme cases, scandal or celebrity sex tapes.

There are a wide range of ways people can become celebrities, from their profession, appearances in the mass media, beauty or even by complete accident or infamy. Instant celebrity is the term that is used when someone becomes a celebrity in very short period of time. In some places, someone that somehow achieves a small amount of transient fame through hype or mass media, is stereotyped as a B-grade celebrity. Often the stereotype extends to someone that falls short of mainstream or persistent fame but seeks to extend or exploit it.

In the 21st Century, the insatiable public fascination for celebrities and appetite for celebrity gossip has seen the rise of the gossip columnist, tabloid, paparazzi and celebrity blogging.

The rise of international celebrities in acting and popular music is due in large part to the massive scope and scale of the media industries, enabling celebrities to be viewed more often and in more places.

Source: Wikipedia
 
Back
Top Bottom