McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Kwenye press yake leo, Jerry Muro amesema kuwa Gwajima aache kutengeneza "drama" na kwamba anapaswa kutambua kuwa kwa sasa wako kwenye kipindi cha Uchaguzi.
"Ningependa kukwambia kuwa huu sio wakati wa kuanza kutengeneza drama za kutuondoa kwenye Uchaguzi Mkuu. Huu ni wakati taifa inapaswa lijielekeze kwenye kujiandaa kuchagua viongozi mapema mwezi Oktoba"