Yani maisha hayana adabu kwa kweli.
Tumuache Mungu aitwe Mungu.
Kumbe ndio ID yake?Nmefurahi tu kuijua ID ya Jerry Muro humu JF. Hongera Mkuu naona kuanzia Kesho utakuwa huru japo najua kwa sasa umekula ' shavu dodo ' hapo SUMATRA hivyo sidhani kama ' utathubutu ' na hata ' kupenda ' kurejea tena Yanga kuwa ' Msemaji ' wao hasa Kipindi ambacho Yanga sasa kunanuka ' Njaa '.
Vijana sasa hivi wanachukua nafasi yakoGood news
Hahaha waache tu mkuu, hamna tatizo..Vijana sasa hivi wanachukua nafasi yako