Jerry Muro huru kesho,waliomuhukumu wapo jela Segerea..!

Mifupa mitupu hakuna mnofu hata mmoja.
Kama ni mke hufai.
Haraka ya nini?
 
Yani maisha hayana adabu kwa kweli.
Tumuache Mungu aitwe Mungu.

Nmefurahi tu kuijua ID ya Jerry Muro humu JF. Hongera Mkuu naona kuanzia Kesho utakuwa huru japo najua kwa sasa umekula ' shavu dodo ' hapo SUMATRA hivyo sidhani kama ' utathubutu ' na hata ' kupenda ' kurejea tena Yanga kuwa ' Msemaji ' wao hasa Kipindi ambacho Yanga sasa kunanuka ' Njaa '.
 
Karibu Jerry mana kuna jamaa anaitwa Hajji alikuwa anatusumbua na makelele yake. Njoo broo umfunge mdomo yule kilaza
 
Nmefurahi tu kuijua ID ya Jerry Muro humu JF. Hongera Mkuu naona kuanzia Kesho utakuwa huru japo najua kwa sasa umekula ' shavu dodo ' hapo SUMATRA hivyo sidhani kama ' utathubutu ' na hata ' kupenda ' kurejea tena Yanga kuwa ' Msemaji ' wao hasa Kipindi ambacho Yanga sasa kunanuka ' Njaa '.
Kumbe ndio ID yake?
 
Back
Top Bottom