SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Unakwenda mbali sana huko duniani, hapa pia yupo.Kwani rais ni malaika?, kwani rais hawezi kuwa mjinga?, kwani mtu kuwa mjinga ni kosa?, mjinga ni asiyejua, usidhani rais kwa vile ni rais basi anajua kila kitu!.
Tuache kurembaremba maneno, wako marais wajinga wajinga wamejaa kibao tuu humu duniani!
P