Jerry Muro kapigwa ganzi haelewi achukue Fomu Jimbo gani?

Unakwenda mbali sana huko duniani, hapa pia yupo.
 
Uncle nchi yetu haitakin watu wenye akili ni either ujifanye mjinga mpaka uwe mpumbavu na sio kua mjinga nusu nusu na hapo ndipo unapokosea.

Wewe ukiamua kua ccm jitoe ufahamu muda wote ila ukijifanya GT lazima ulimwe tuu
 
Kwa sasa kuwa vizuri hakuna mashiko kinachomata ni uwezo mzuri wa kuwa chawa Jerry ni chawa
Watu smart hawawezi kukutegemea mtu kama wewe (chawa)
Kuwa chawa ni zaidi ya mwanamke malaya
Alivyofariki Magufuli uliona reaction ya baadhi ya wanasiasa walivyobadilika
 
Yaani kweli anko unamfananisha Jerry na Mtaka? Mtaka ni kiongozi hasa. Jerry ana matatizo yafuatayo:
1. Ukosefu wa ujuzi katika mawasiliano: mfano alipokuwa DC pale Arusha bila kujali hata umri wa mkurugenzi mtendaji DR Wilson mahela alionesha ujinga mpaka RC Gambo aliingilia kati.
2. Ni tegemezi ( anaishi kwa hisani), haendi bila Godfather/Godmother. Hii imemfanya kuingia kwenye vita visivyo vyake na kujenda uadui
3. Ni mropokaji kupita kiasi bila kujali athari anayoiacha.
 
Kumbe hunaga akili pamoja na utu uzima wako, yaani Rais mwenye watu wa kumpa taarifa zote awe mjinga, Jemedari wetu nembo inayoishi ya uhuru na umeoja wetu?
Halafu nani amesema mjinga ni mtu asiyejua tu? Mjinga ni mtu asiye na capacity ni tusi kubwa
Kumbe wewe ndio mjinga 100%!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…