Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi.Hata waliomualika na wao wana " mapungufu " tena makubwa tu. In short tu ni kwamba leo wenye " mapungufu " wamekutana studioni. Kwa Mwandishi wa Habari ambaye ni serious na amekwiva kabisa ethically hawezi si tu kufanya interview na Jerry Muro bali hata tu kuthubutu kumwomba appointment nae hawezi. Kwa Researchers Jerry Muro ni CASE STUDY nzuri sana kama ukitaka kutafiti KWANINI ELIMU KUBWA ZA WASOMI WETU HAZIAKISI UHALISIA NA UTENDAJI WAO. He's a typical professional failure!
Mkuu ungeuliza kaongea nini? Ishu ya ukaaji uwanjani haikuzungumzwa kabisa!Mimi ninadhani mna miss a point.
Yanga ndiye mwenyeji wa mechi hiyo inalipa gharama za kukodi uwanja huo kwa mechi hiyo[host] hivyo wanahaki kuamua utaratibu gani wa kukaa utumike kwa wapenzi wake na pia kwa wapenzi wa timu ya kigeni mbona huu ni utaratibu wa kawaida tu? Ingekuwa mechi ya yanga na simba hapo ingekuwa ni kitu kingine kabisa kwani sehemu wakaazo wapenzi wa timu hizi zinajulikana tangu enzi na enzi lakini kwa mechi hii waacheni jamani
Mambo kasoma wapi inaleta hisia ya wivu fulani hivi[samahani]
Hata waliomualika na wao wana " mapungufu " tena makubwa tu. In short tu ni kwamba leo wenye " mapungufu " wamekutana studioni. Kwa Mwandishi wa Habari ambaye ni serious na amekwiva kabisa ethically hawezi si tu kufanya interview na Jerry Muro bali hata tu kuthubutu kumwomba appointment nae hawezi. Kwa Researchers Jerry Muro ni CASE STUDY nzuri sana kama ukitaka kutafiti KWANINI ELIMU KUBWA ZA WASOMI WETU HAZIAKISI UHALISIA NA UTENDAJI WAO. He's a typical professional failure!
Mimi binafsi sijasoma hizo kanuni za CAF kuhusu television rights...lakini kwa maoni yangu kama TFF wameingia mkataba na kampuni ya kurusha mpira huo bila kuishirikisha YANGA then hilo ni tatizo...Kwa namna yoyote ile YANGA ni lazima washirikishwe, kwani yANGA ndiye anayegharamia mechi hiyo na siyo TFF....YANGA nidyo inayogharimia malazi ya wachezaji wa MAZEMBE pia YANGA ndiyo inayogharimia malazi na posho za marefa na nadhani na kamisaa...
bahati nzuri umesema haujasoma kanuni,ukisoma hizo kanuni uwezi fikiria jinsi unavyofikiria.Mimi binafsi sijasoma hizo kanuni za CAF kuhusu television rights...lakini kwa maoni yangu kama TFF wameingia mkataba na kampuni ya kurusha mpira huo bila kuishirikisha YANGA then hilo ni tatizo...Kwa namna yoyote ile YANGA ni lazima washirikishwe, kwani yANGA ndiye anayegharamia mechi hiyo na siyo TFF....YANGA nidyo inayogharimia malazi ya wachezaji wa MAZEMBE pia YANGA ndiyo inayogharimia malazi na posho za marefa na nadhani na kamisaa...
bahati nzuri umesema haujasoma kanuni,ukisoma hizo kanuni uwezi fikiria jinsi unavyofikiria.
Kila timu imeshapewa takribani USD 150,000 zikiwemo gharama za kuonyesha mechi kwenye TV.
Tff anaruhusiwa kufanya mchakato wa kutafuta TV station kwa niaba ya caf,Hakuna kanuni inayosema timu ihusishwe kwenye mchakato huu(kumbuka klabu imeshapewa fedha za haki ya kuonyeshwa kwa mechi husika)..
G
Hapo TFF akasign mkataba kwa niaba ya CAF, sahihi ya TFF ni sahihi ya CAFHiyo mechi TFF hawana haki ya kuingia mkataba na TV yeyote kuonyesha hiyo mechi kwani sio mashindano wanayoyasimamia, gharama za kuiandaa timu hawachangii wanahitaji kupiga kwenye mechi ya wenzao wajipange upya kwa yanga hapo komaeni haswa hakuna live
Utaratatibu wa mwenyeji kuilipa gharama za hotel team ngeni umeshaondolewa na Caf. Team ngeni inajigharamia yenyewe .Mimi binafsi sijasoma hizo kanuni za CAF kuhusu television rights...lakini kwa maoni yangu kama TFF wameingia mkataba na kampuni ya kurusha mpira huo bila kuishirikisha YANGA then hilo ni tatizo...Kwa namna yoyote ile YANGA ni lazima washirikishwe, kwani yANGA ndiye anayegharamia mechi hiyo na siyo TFF....YANGA nidyo inayogharimia malazi ya wachezaji wa MAZEMBE pia YANGA ndiyo inayogharimia malazi na posho za marefa na nadhani na kamisaa...
huyu shaffih Ni Mika fc bila shaka
Halafu wewe unajua vitu sana ila ushauri wa bure, punguza kubishana na wahuni na wewe kutumia lugha hizohizo za kihuni. Kwa kitendo cha kuframe research topic kama hii inonesha uko maili nyingi mbele kuliko hawa unaotukanana nao kwenye mitandao mara kwa mara.
Kimavi cha wale traffic bado kinamuandamaMsomi gani unabisha hata vitu vipo wazi kabisa.
Unabaki kijisifu eti umesoma Marekani, Swedeni na Afrika Kusini.
Kuwa mpole tu azam warushe hiyo mechi kuliko kukaa kupotosha wakati kanuni zipo wazi.
Utaratatibu wa mwenyeji kuilipa gharama za hotel team ngeni umeshaondolewa na Caf. Team ngeni inajigharamia yenyewe .
niliwai kusema wewe ni mungwana sanaMkuu nimeupokea USHAURI WAKO HUU KWA MIKONO MIWILI na AKHSANTE PIA KWA KUNIWEKA SAWA na NAKUAHIDI KUWA KUANZIA SAA 6 na DAKIKA 1 baadae TEGEMEA KUMWONA GENTAMYCINE UNAYEMTAKA AWE ( nikimaanisha kuwa sasa naenda kubadilika ) na NAACHANA RASMI KUJIBIZANA NA HAO WAHUNI na WASWAHILI kwani upo sahihi kwa kiasi fulani wananipunguzia credits zangu. I salute you Mkuu na UBARIKIWE SANA KWA KUJITOA KWAKO MUHANGA " kufunguka " hivi KIUKWELI dhidi yangu. Sina shaka wala wasiwasi au hofu kuwa hata Wewe Mkuu UNAONYESHA UPO VIZURI MNO UPSTAIRS na unajua nini unafanya. Huwa nikikutana na Members " Majiniasi " wenzangu kama Wewe humu JF huwa najiona kama vile nipo SAYARI nyingine.