blandes 001
Member
- Mar 7, 2017
- 58
- 92
Soka la bongo ni moja katika ya vitu vyenye mvuto zaid hapa Tanzania. Mpira umekuwa ni trending kwasasa bongo na bongo kama wew sio simba basi ni yanga.yani kwakifupi huwez kuruka apo.
Kwa sasa Simba ndio team yenye ushawishi mkubwa zaid Tanzania. Kuanzia kwa wawekezaji, wadhamini mpaka kwenye jamii simba kwasasa ni moto wa kuotea mbali ukilinganisha na yanga na yote haya yanasababishwa kwa kiasi kikubwa na pesa ya Mo Dewji lakini kuna mtu mmoja ambae ni mastermind hapa Bongo na ni mjanja mjanja katika siasa za soka la bongo nje na ndani ya uwanja anaitwa " Haji manara". Uyu ndo simba kwasasa na yeye ndo Simba. Shughuli zote chafu na safi pale simba yeye ndio yupo under cover.
Uki iface simba ujuwe ume mface yeye moja kwa moja. Kiukweli mimi ni yanga lakini nna mhusudu sana haji manara.aniongea simba kwa mazuri, anaamisha watu kuwa simba ni kubwa kuliko Yanga, anatafuta funbase yeye mitandaon, anai-link club ya simba na jamii na leo nnakilo tunapoelekea uko mbeleni kama mambo yakiwa hivi Watanzania wanaoshabikia Simba watakuwa 80% na Yanga itakuwa 20% kama viongozi wa Yanga hawatoshtuka.
Yanga kwasasa ni club ya wanyonge, haizungumzwi kwa mazuri kwa kifupi ni kama gari zuuri ambalo linatatizo la kukosa mafuta tu na limepaki halifanyi kazi. Sijawah kuvutiwa na nugaz na bumbuli kabisa na hata mitandaon sija wa follow kabisa nawaona kama machawa tu wa GSM. Wamepoa sana, sio wabunifu, hawana vision na kikubwa zaidi hawana mvuto na hata mashabiki sidhani kama wanavutiwa nao. Ukitaka kujua angalia wana followers wangapi kwenye mitandao. Ukijumlisha hao wawili ni sawa na manara au zaidi. Kwa kifupi binafsi naona wame fail kabisa na sidhan kama wana maelewano na hyo ndo sababu ua yanga kuwa wanyonge. Na siri ya mafanikio ya yanga nje ya uwanja nathubutu kusema tuna muhitaji "JERRY MURO". Ntaeleza kwann
Miaka mitatu hadi mi nne iliyopita jery muro alikuwa msemaj wa yanga na club ilikuwa na mvuto zaid.kama mnakumbuka haji manara alikuwa mpole sana.alikiwa hana majivuni alikuwa nyuma ya jery muro mpaka akawa anataka kufungua kesi.alikuwa hathubutu kuisema yanga vibaya. Yanga ilikuwa sio club unaweza kuivaa vaaa tu kizembe. Nadhani kama kipindi kile kingekuwa ndo hiki Jerry angekuwa ndo most influential msemaji wa club na Yanga ingekuwa ndo club inazungumziwa zaidi Tanzania kuliko club yeyote na hata hawa wawekezaji tungewavuna zaidi. Kwasasa Yanga ina matatizo mengi ila moja wapo ni kukosa msemaji na muhamasishaji wa club.
"JERRY MURO YANGA INAKUHITAJI SANA KULIKO UKUU WA WILAYA NA NDUGU YAKO HAJI MANARA ANAFANYA ANACHOKITAKA KWASASA KWAKUKOSA MPINZANI NA WEW NDIO DAWA YAKE"