Jerry Muro, kwa Kiingereza chako hiki, hakika umejidhalilisha na kuwatia aibu mno walimu wako wote

sagHIR
Safi Sana Mkuu Na Akhsante Kwa Kunielewa Na Kwa Kumwelewesha Pia Na Mwana Yanga Huyo Aliyemvivu Wa Kufikiri Na Asiyejua Kujenga Hoja.
 
Last edited by a moderator:
Naona watu hawajaelewa lengo la mleta mada. Huyo Jerry anamcheka mwenzake kumbe naye hayuko vizuri.

Safi sana member. Nafurahi kuona watu kama nyie wenye akili kubwa na nyingi ya kumwelewa " Gentamycine " nasema nini na sikushangai kwani najua wewe lazima tu utakuwa ni mwana Simba Sports Club mwenzangu / mwenzetu kwani ni wana simba tu pekee nchi hii waliojaaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na wana upeo uliotukuka.
 
yan km kukosea English ni jambo la kusakamwa basi utumwa ungali maungoni mwetu....mwacheni km Lugha ya mshahara tu....anayo na Yanga yuko kazini .
 
hhhaaaha they are much okey to face we as simba...jeryyyy na mie nimekuiga
 
kama ulikua huna hobby ya kusoma novel tangu uko form two lazima uchapie kwasana tu

Sina Mbavu Mie Usiku Huu. Akhsante Kwa Kuniongezea Siku Zangu Za Kuishi Mkuu Kwa Kunifanya Nicheke Kwa Hii Post Yako. Iko Poa!
 
yan km kukosea English ni jambo la kusakamwa basi utumwa ungali maungoni mwetu....mwacheni km Lugha ya mshahara tu....anayo na Yanga yuko kazini .

Sasa Kama Na Wewe Kumbe Unayajua Yote Haya Je Kimbelembele Cha Jerry Muro Kuzungumza Kiingereza Chake Broken Tena Mbele Ya PRESS Kilikuwa Cha Nini? Na Cha Kushangaza Hata Wale Waandishi Wote Waliokuwepo Pale Katika Press Conference Hawakujua Kama Jamaa Alikuwa " Anawatanguliza "

Ila Humu JF " The Home Of Great Thinkers " Tunamdadavua Sasa Na Habari Imfikie Popote Alipo Kuwa Hajui Kiingereza, Amejiaibisha Mno Na Kuiaibisha Hata Yanga Yenyewe Na Hapo Hapo Anatamba Kuwa Yeye Ana Master's Degree. Jamani Wahadhiri Wa UDSM Mliyemfundisha Huyu Hampo Humu Ili Mtusaidie Kutatua Tatizo Lake Hili?
 
Mh mi cna cha kuongea maana nahisi ndo ntaongea broken mara mbili yake uwiii

Bora Tu Usiongee Mwaya Usije Na Wewe " Ukatukorogea " Broken Kama Za Msemaji Huyo Wa Klabu Inayojiita " Wa Kimataifa " Ya Yanga Jerry Muro.
 
cc Jamali Malinzi.

Hahahaha,hili ndio soka letu limepofikia sasa.
Team zinaboronga,Wasemaji wa Club wamekuwa Waimba Taarabu(Mzee Yusuph)amekuwa Mzee Yusuph,Kitwana Manara nae amekuwa(Omary Tego)

Watu wanataka matokeao Uwanjani,Kwenye Mikataba feki waomo,kwenye Usajili unasikia eti mtu amekesha kwenye Hotel akihakikisha kwamba Team Pinzania haiji kusajili mchezaji wao.

Tumechoka Mpira wa Magazeti na Vijembe.
Wakitoka hao utasikia kina Kaburu na Manji wanalianzisha la kwao,yaani ndio maisha yetu hayo.

Hebu Waite hawa wasemaji wa Team na ukae nao, hiki sio Watanzania tunachokitaka, reflection yake inaenda hadi kwenye National Team indirectly.
 
mkuu mtoa mada hivi hatujawahi kubishana kipindi flani ukawa unang'ang'ania kwamba mayweather jr kashinda pambano na pacman kwa "anonymous decision" baadhi waliosema kashinda kwa "unanimous decision" ukawatia matusi ya kutosha? nihurumie kama nimekufananisha si unajua dunian wawil wawil!!
 
Ndio maana ya utani wa jadi lazima kupondana lakini sio kugombana.. Nadhani kwa English grammar kaeleweka tu Ingekuwa tatizo lipo kwenye pronunciation sawa Ila hapo kaeleweka tu si kiswakinge [ English is not our language plz ~jerry rewlings former Ghana president] Alipochapia kwenye hotuba yake kwenye kikao cha baraza kuu la Usalama la umoja wa mataifa November 1999
 
Mkuu Gentamycin umenikumbusha jeshini ubishi wa makamanda hawa wa kijeshi kuhusu neno kushoto; Mkurya "kuchoto geuka" (akimaanisha kushoto geuka."). Mhehe (akimsahihisha Mkuria) ..."usiseme kuchoto geuka sema kusoto geuka" . Sasa na wewe tukuulize . Muro alitamka "...we are okey au "...we are okay". Humu tunaangalia mantiki ya hoja zaidi.
 
Kiingereza sio lugha yetu ya kwanza kwa hiyo mtu kukosea ni kawaida nenda hata nchi za ulaya ambazo hawaongei kiingereza wasikilize hili tatizo lipo njoo mpaka kwa viongozi wetu kuanzia rais, mawaziri, wabunge, viongozi serikalini ni shida kwenye kuongea.

Lakini cha muhimu ni kuelewana mnachozungumza huwezi kuongea kiingereza kama wao wanavyoongea kila siku. Mtu aliyeenda kusoma us miaka ya 70 na alikuwa anajua kiingereza vizuri leo hii akienda mitaani hawezi kuelewa maneno ya vijana wa sasa hivi akina Lil Wayne
 
Mbona hata Kiswahili watu tunakosea sana

Licha ya kuwa ndo lugha yetu ya Kwanza.....


Kiswahili kwangu sio lugha ya kwanza, ni ya pili...hiyo inafanya kingereza kuwa lugha ya tatu, na nyingine ninazozijua kiasi kuwa za nne na kuendelea...!
Hapo hata nikikosea kiswahili na kingereza sina kosa, japo mtu kama kweli unaongea lugha flani unatakiwa kujitahidi uongee kwa ufasaha!
 
Mtoa mada hata wewe hujui kiingereza....umeandika already mbili zipo tofaut..yaan arleady na already.so usimnyoshee kidole mwingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…