GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona watu hawajaelewa lengo la mleta mada. Huyo Jerry anamcheka mwenzake kumbe naye hayuko vizuri.
kama ulikua huna hobby ya kusoma novel tangu uko form two lazima uchapie kwasana tu
yan km kukosea English ni jambo la kusakamwa basi utumwa ungali maungoni mwetu....mwacheni km Lugha ya mshahara tu....anayo na Yanga yuko kazini .
Mh mi cna cha kuongea maana nahisi ndo ntaongea broken mara mbili yake uwiii
au alisema WE ARE ALL READY?
Unamuonea tu bure
Kama mtu kingereza sio your first langauge
kukosea ni kawaida....
ukianza chunguza kila neno wakati alicho ongea kimeeleweka sio sawa
Mbona hata Kiswahili watu tunakosea sana
Licha ya kuwa ndo lugha yetu ya Kwanza.....