gilldenu JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 2,915 Reaction score 3,019 Jul 29, 2015 #61 Kwa hiyo ilibidi asemeje hapo?
Rubengo J Rubengo Member Joined Jul 30, 2014 Posts 46 Reaction score 2 Jul 31, 2015 #62 Mbona Kiswahili Hamjitap Kua Mnakjua... MTANZANIA JIVUNIE KISWAZ SIO UNG'ENG'E Hongera Jerry Mulo Kwa Kuikosea Lugha Ya Kigen Ila Ukapatia Kiswahli...Kulko Anae Ksea Kswaz Anaptia Kingreza... KISWAHILI HOYEEEEEEE.......
Mbona Kiswahili Hamjitap Kua Mnakjua... MTANZANIA JIVUNIE KISWAZ SIO UNG'ENG'E Hongera Jerry Mulo Kwa Kuikosea Lugha Ya Kigen Ila Ukapatia Kiswahli...Kulko Anae Ksea Kswaz Anaptia Kingreza... KISWAHILI HOYEEEEEEE.......
M my friend Member Joined Jul 29, 2015 Posts 37 Reaction score 6 Aug 1, 2015 #63 Wakuu inakuwaje? Mleta mada anamaanisha kwamba tabia ya kumponda mwenzio wakati na wewe kitu ni tabia mbaya. Muro hajui kingereza alafu anamponda mwenzie. Kitu nilichogundua hapa ni kwamba hao watetezi wa Muro nao hawajui kingereza
Wakuu inakuwaje? Mleta mada anamaanisha kwamba tabia ya kumponda mwenzio wakati na wewe kitu ni tabia mbaya. Muro hajui kingereza alafu anamponda mwenzie. Kitu nilichogundua hapa ni kwamba hao watetezi wa Muro nao hawajui kingereza
Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,004 Reaction score 3,695 Aug 5, 2015 #64 Wajameni 'kikristu' kimekuja na meli sio lugha yetu...
D David Thomas M JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 546 Reaction score 137 Aug 5, 2015 #65 Kwahiyoo...