Jerry Muro, kwa Kiingereza chako hiki, hakika umejidhalilisha na kuwatia aibu mno walimu wako wote

Jerry Muro, kwa Kiingereza chako hiki, hakika umejidhalilisha na kuwatia aibu mno walimu wako wote

Mbona Kiswahili Hamjitap Kua Mnakjua...
MTANZANIA JIVUNIE KISWAZ SIO UNG'ENG'E

Hongera Jerry Mulo Kwa Kuikosea Lugha Ya Kigen Ila Ukapatia Kiswahli...Kulko Anae Ksea Kswaz Anaptia Kingreza...
KISWAHILI HOYEEEEEEE.......
 
Wakuu inakuwaje? Mleta mada anamaanisha kwamba tabia ya kumponda mwenzio wakati na wewe kitu ni tabia mbaya. Muro hajui kingereza alafu anamponda mwenzie. Kitu nilichogundua hapa ni kwamba hao watetezi wa Muro nao hawajui kingereza
 
Wajameni 'kikristu' kimekuja na meli sio lugha yetu...
 
Back
Top Bottom