Jerry Muro: Mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga

Jerry Muro: Mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

"Mimi ni nabii nilishawaambia watu kwamba Haji atakuja Yanga siku moja na kweli Haji Manara amekuja Yanga, mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga."

Hersi amejaribu kurikruti watu wengi sana kutoka Simba kuanzia wachezaji hadi viongozi. Wengine aliwapata na wengine aliwashindwa. Sitashangaa kama alimuaprochi pia Mo.
 
Jamaa aliuchangamsha sana mpira wa miguu enzi na yeye na Haji Manara. Wazee wa Simba walikua wanakusanyana wanalia wakisema makolo wanatukanwa. Sitokuja kusahau enzi zile
Acha kuudanganya uma ww utopolo...eti wanalia..au umekumbuka hao wa kwenu jangwani wanalia kwa ajili ya Jemedari...hao Muro na Manara walikuwaga wanatifuana wao kwa wao
 
Acha kuudanganya uma ww utopolo...eti wanalia..au umekumbuka hao wa kwenu jangwani wanalia kwa ajili ya Jemedari...hao Muro na Manara walikuwaga wanatifuana wao kwa wao
Nyie mmeanza lini kushabikia mpira?
 
Hata sisi tunataka Mo aje Yanga tena awe mdhamini mkuu kabisa, mtu mmoja ambaye nina uhakika hawezi kuja Yanga ni Bakhresa, naamini Mo akiondoka Simba pengine Bakhresa anaweza akapewa nafasi Simba ya kuwa mdhamini mkuu
 
Jamaa aliuchangamsha sana mpira wa miguu enzi na yeye na Haji Manara. Wazee wa Simba walikua wanakusanyana wanalia wakisema makolo wanatukanwa. Sitokuja kusahau enzi zile
Tumtoe Ally Kamwe tumrudishe Jerry Muro
 
Back
Top Bottom