Jerry Muro: Mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga

Jerry Muro: Mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga

Hersi amejaribu kurikruti watu wengi sana kutoka Simba kuanzia wachezaji hadi viongozi. Wengine aliwapata na wengine aliwashindwa. Sitashangaa kama alimuaprochi pia Mo.
Ana nini cha kuongeza Yanga? Ilimfia Kajumulo, Singida na hata Simba inaonekana anafeli nako, Mo hana jipya
 
Ana nini cha kuongeza Yanga? Ilimfia Kajumulo, Singida na hata Simba inaonekana anafeli nako, Mo hana jipya
Mafanikio ya Simba chini ya Mo hakuna mwekezaji wa soka Tanzania amewahi kuyafikia.
 
Ana nini cha kuongeza Yanga? Ilimfia Kajumulo, Singida na hata Simba inaonekana anafeli nako, Mo hana jipya
Hivi kwenye ranking za CAF mko nafasi ya ngapi vile? Maana tuliambiwa mwaka huu mnachukuwa ubingwa wa CAFCL na kuipiku simba ktk raking za CAF
 
ALISHAPEWA MCHONGO AKAWA MKUU WA WILAYA AMETIMBANGA, AMEPIGWA CHINI, SASA HUO UNABII SI UNGEMPA MWANGA NINI CHA KUFANYA, WENDA SASA ANGEPANDISHWA HAZI KUWA MKUU WA MKOA, BADALA YA KUPIGWA CHINI.
 
Hivi alibugi kitu gani huyu jamaa hadi akawekwa pending mazima na wagawa asali?
 
Bwana misosii mi naimba ntokee vipii kilasiku najiuliza ntoke vipii,,???🎺🎻🪗🎹 📷 Jery. Anatafta pakutokea. Wanasimba msimjiibuu anatafta mlangoo
 
"Tatizo Simba imejaa mbumbumbu"

Isamil Rage
NI KWELI, ILA BORA HAWA HAO MBUMBU, KULE KWA WAISLAMU, WANAITWA MAHAMUMA.
.KWANINI BORA MBUMBUMBU, HAWA WALIO MBUMBUMBU UKIMPA ELIMU UMBUMBU UNAMTOKA.
.
.ILA KULE KWA WENYE AKILI WAWILI TU NI KUGUMU SANA.
.KWANINI KWA WASIO NA AKILI KUGUMU.
.ASIO NA AKILI AFUNDISHIKI HIVYO ATABAKI KUWA HANA AKILI.
 
Jamaa aliuchangamsha sana mpira wa miguu enzi na yeye na Haji Manara. Wazee wa Simba walikua wanakusanyana wanalia wakisema makolo wanatukanwa. Sitokuja kusahau enzi zile
Alikuwa yanga kumchunguza manji tu, akamnasisha kwenye 18 za wazee wa kazi
 
Back
Top Bottom