PeterwaPerer
Member
- Sep 12, 2024
- 41
- 63
Ana nini cha kuongeza Yanga? Ilimfia Kajumulo, Singida na hata Simba inaonekana anafeli nako, Mo hana jipyaHersi amejaribu kurikruti watu wengi sana kutoka Simba kuanzia wachezaji hadi viongozi. Wengine aliwapata na wengine aliwashindwa. Sitashangaa kama alimuaprochi pia Mo.
Mafanikio ya Simba chini ya Mo hakuna mwekezaji wa soka Tanzania amewahi kuyafikia.Ana nini cha kuongeza Yanga? Ilimfia Kajumulo, Singida na hata Simba inaonekana anafeli nako, Mo hana jipya
Hivi kwenye ranking za CAF mko nafasi ya ngapi vile? Maana tuliambiwa mwaka huu mnachukuwa ubingwa wa CAFCL na kuipiku simba ktk raking za CAFAna nini cha kuongeza Yanga? Ilimfia Kajumulo, Singida na hata Simba inaonekana anafeli nako, Mo hana jipya
Is Manara a credible authority for you to rely on?"Yanga Wenye akili ni wawili tu Mzee kikwete na Mzee manara "
Haji Sanday Manara.
"Tatizo Simba imejaa mbumbumbu'"Yanga Wenye akili ni wawili tu Mzee kikwete na Mzee manara "
Haji Sanday Manara.
NI KWELI, ILA BORA HAWA HAO MBUMBU, KULE KWA WAISLAMU, WANAITWA MAHAMUMA."Tatizo Simba imejaa mbumbumbu"
Isamil Rage
Huyu polisi wamuhoji nani alimteka Mo, atakuwa anajua huyu.Wakuu
"Mimi ni nabii nilishawaambia watu kwamba Haji atakuja Yanga siku moja na kweli Haji Manara amekuja Yanga, mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga."
Alikuwa yanga kumchunguza manji tu, akamnasisha kwenye 18 za wazee wa kaziJamaa aliuchangamsha sana mpira wa miguu enzi na yeye na Haji Manara. Wazee wa Simba walikua wanakusanyana wanalia wakisema makolo wanatukanwa. Sitokuja kusahau enzi zile