nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Yanga wapigaji wapo wengi pesa ya usajili imeliwa kwa kwenda kumsajili ofisa mtendaji wa Kijiji huyo YikpeAisee ila hawa jamaa bwana hawachelewi kusema Yikpe kahongwa Range Rover na Simba, leo asubuhi katika Wasafi Jerry Muro kamuita Yikpe kwamba ni Boya na anamshangaa Mzungu kumpanga boya akiwaacha kina Ngassa benchi.
kwenye EFM, Nugaz a.k.a Juma Khatib alisema kwamba alikuwa ana doubt kuhusu Yikpe muda mrefu hadi akampigia simu Boniface Ambani huko Kenya kuomba maelezo zaidi na clip za Yikpe akiwa Gor Mahia, akaulizwa kuhusu nani aliyemsajili Yanga, hakukuwa na jibu.
Hawa jamaa wana safari ndefu sana ila kwa kuwa wana washabiki vilaza wasiojielewa walishajua jinsi ya kucheza na saikolojia yao.
Yes ndiyo jina lake la passport hilo Antonio nugaz ni jina la swagg,ni kama vile hamis mandi anavyojiita b-12 au George bangula anavyojiita Rommy jones au seydou mandingo anavyojiita babbuu wa kitaa
Bila kumsahau jumanne kabwela anaejiita jimmy kabweYes ndiyo jina lake la passport hilo Antonio nugaz ni jina la swagg,ni kama vile hamis mandi anavyojiita b-12 au George bangula anavyojiita Rommy jones au seydou mandingo anavyojiita babbuu wa kitaa
Hahahah Juma Mpolopoto - JuxBila kumsahau jumanne kabwela anaejiita jimmy kabwe
Doooh inaonekana yule Mandingo wa USA babu zake walitoka hukuYes ndiyo jina lake la passport hilo Antonio nugaz ni jina la swagg,ni kama vile hamis mandi anavyojiita b-12 au George bangula anavyojiita Rommy jones au seydou mandingo anavyojiita babbuu wa kitaa
George Bangula sharti la kuwa vice president WCB aliambiwa awe Muislam?Yes ndiyo jina lake la passport hilo Antonio nugaz ni jina la swagg,ni kama vile hamis mandi anavyojiita b-12 au George bangula anavyojiita Rommy jones au seydou mandingo anavyojiita babbuu wa kitaa
Ndio alivyosema jamaa?George Bangula sharti la kuwa vice president WCB aliambiwa awe Muislam?
Sent using Jamii Forums mobile app
vita ya panzi furaha kwa kunguru(Simba), acha wakorogane wenyewe kwa wenyewe huku simba ikisonga mbele
Aisee ila hawa jamaa bwana hawachelewi kusema Yikpe kahongwa Range Rover na Simba, leo asubuhi katika Wasafi Jerry Muro kamuita Yikpe kwamba ni Boya na anamshangaa Mzungu kumpanga boya akiwaacha kina Ngassa benchi.
kwenye EFM, Nugaz a.k.a Juma Khatib alisema kwamba alikuwa ana doubt kuhusu Yikpe muda mrefu hadi akampigia simu Boniface Ambani huko Kenya kuomba maelezo zaidi na clip za Yikpe akiwa Gor Mahia, akaulizwa kuhusu nani aliyemsajili Yanga, hakukuwa na jibu.
Hawa jamaa wana safari ndefu sana ila kwa kuwa wana washabiki vilaza wasiojielewa walishajua jinsi ya kucheza na saikolojia yao.