Jerry Muro, Nugaz wamkandia na kumdhalilisha Yikpe

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Aisee ila hawa jamaa bwana hawachelewi kusema Yikpe kahongwa Range Rover na Simba, leo asubuhi katika Wasafi Jerry Muro kamuita Yikpe kwamba ni Boya na anamshangaa Mzungu kumpanga boya akiwaacha kina Ngassa benchi.

Kwenye EFM, Nugaz a.k.a Juma Khatib alisema kwamba alikuwa ana doubt kuhusu Yikpe muda mrefu hadi akampigia simu Boniface Ambani huko Kenya kuomba maelezo zaidi na clip za Yikpe akiwa Gor Mahia, akaulizwa kuhusu nani aliyemsajili Yanga, hakukuwa na jibu.

Hawa jamaa wana safari ndefu sana ila kwa kuwa wana washabiki vilaza wasiojielewa walishajua jinsi ya kucheza na saikolojia yao.
 
vita ya panzi furaha kwa kunguru(Simba), acha wakorogane wenyewe kwa wenyewe huku simba ikisonga mbele
 
Kwa hiyo jumba bovu anataka kuangushiwa Yikpe Gilsail Gnamien sio?
 
Aisee ila hawa jamaa bwana hawachelewi kusema Yikpe kahongwa Range Rover na Simba, leo asubuhi katika Wasafi Jerry Muro kamuita Yikpe kwamba ni Boya na anamshangaa Mzungu kumpanga boya akiwaacha kina Ngassa benchi.

kwenye EFM, Nugaz a.k.a Juma Khatib alisema kwamba alikuwa ana doubt kuhusu Yikpe muda mrefu hadi akampigia simu Boniface Ambani huko Kenya kuomba maelezo zaidi na clip za Yikpe akiwa Gor Mahia, akaulizwa kuhusu nani aliyemsajili Yanga, hakukuwa na jibu.

Hawa jamaa wana safari ndefu sana ila kwa kuwa wana washabiki vilaza wasiojielewa walishajua jinsi ya kucheza na saikolojia yao.
Yanga wapigaji wapo wengi pesa ya usajili imeliwa kwa kwenda kumsajili ofisa mtendaji wa Kijiji huyo Yikpe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ndiyo jina lake la passport hilo Antonio nugaz ni jina la swagg,ni kama vile hamis mandi anavyojiita b-12 au George bangula anavyojiita Rommy jones au seydou mandingo anavyojiita babbuu wa kitaa
Bila kumsahau jumanne kabwela anaejiita jimmy kabwe
 
Yes ndiyo jina lake la passport hilo Antonio nugaz ni jina la swagg,ni kama vile hamis mandi anavyojiita b-12 au George bangula anavyojiita Rommy jones au seydou mandingo anavyojiita babbuu wa kitaa
Doooh inaonekana yule Mandingo wa USA babu zake walitoka huku
 
Yes ndiyo jina lake la passport hilo Antonio nugaz ni jina la swagg,ni kama vile hamis mandi anavyojiita b-12 au George bangula anavyojiita Rommy jones au seydou mandingo anavyojiita babbuu wa kitaa
George Bangula sharti la kuwa vice president WCB aliambiwa awe Muislam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni huyu huyu Muro aliyema kwenye vyombo vya habari kwamba Ngasa kazeeka. Leo anamfagilia

Back
Top Bottom