Jerry Muro: Simba si washindani wetu tena

Jerry Muro: Simba si washindani wetu tena

Wa Kimataifa na wamchangani wapi na wapi......?
 
Timu gani ni bora kwa sasa ?jibu la shabiki wa simba sikia mwenyewe...ni shule za private bana
 
Hiyo si hoja,kilicho wazi kwamba mara zote timu hizi zikikutana hakuna mwenye uhakika wa ushindi,ngojeni siku yenu ikifika ndio mtamtimua yule ponjoro na huyo kibaraka wake

Kweli tupu mkuu hakuna kwenye uhakika wa ushindi, Ile mechi Ni ya ligi kuu, Yanga imeshinda mechi nyingi walizo cheza mbona Jerry hakuwahi kuwapongeza wachezaji. Kwanini kwa mechi ya Simba tu, alafu bila kutumia akili unasema sio wapinzani wetu, asiye mpinzani utamwekea kambi Pemba Ni kiasi gani cha pesa kimetumika, kugaramia mechi moja ya ligi kuu. Ni mechi ngapi za ligi kuu Yanga huingia kambini kabla ya kukutana nayo, Kama sio Simba pekee. Huyu Jerry atakua anapuliza sio bure anaropoka kwa kuamua tu.
 
Back
Top Bottom