Hiyo si hoja,kilicho wazi kwamba mara zote timu hizi zikikutana hakuna mwenye uhakika wa ushindi,ngojeni siku yenu ikifika ndio mtamtimua yule ponjoro na huyo kibaraka wake
Rekodi zinaongea,Yanga kamtupia simba bao 101,Simba yeye goli 88Wanajitia uchizi tu. Takwimu zipo wazi. Itawachukua karne nzima kuifikia Yanga kwa takwimu hizo!