Jerry Muro tulikuambia ubadhirifu wa miradi ya umma Ikungi utakuondoa, pole sana

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Katika wakuu wa wilaya waliokua wabishi majeuri hawataki kuambilika ni pamoja na DC Mstaafu halmashauri ya wilaya ya Ikungi ndg Jerry Muro. Huyu kila alipoambiwa amezungukwa na mchwa waliokua wanatafuna pesa za umma alijifanya mkali akidai anachafuliwa kisiasa. Sasa ajifunze.

Twende hatua kwa hatua

1.UJENZI WA KITUO CHA AFYA IRISYA
Serikali ya Mama Samia ilitenga pesa takribani milion 500 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya Isirya, lakini waliingia mchwa wakawa wanatafuna pesa hizi hali iliyomfanya PM Majaliwa akasririke na kuagiza uchunguzi ufanyike, maana DC na timu yake waliposikia PM anakuja walitoa pesa kwenye vyanzo vingine vya halmashauri kufunika kombe lakini za mwizi ni 40 wakajulikana. Mpaka sasa kituo hiki kinasuasua hakijakamilika.Muro alituma TAKUKURU kuchunguza Skendo hiyo na kupelekea kukamatwa dagaa lakini mapapa wakaachwa na mpaka leo hakuna ripoti ya kueleweka juu ya uchunguzi huo. Kituo limesimama haijulikani ni lini kitaanza haliyakuwa nchi nzima vituo vingi penye usimamizi mzuri wa wakuu wa Wilaya vilivyoanza ujenzi pamoja vimeanza kufanya kazi wananchi wanapata huduma nzuri tu.

2.UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA NTUNTU.
Katika kituo hiki jamii ya eneo husika ilipiga kelele baada ya kuona hakuna kinachoendelea muda mrefu ujenzi huelewiki, hakuna taarifa zinatolewa kuhusu ujenzi wa kituo na muda uliopangwa imeisha. DC alipoambiwa akapiga mikwara akadai anachafuliwa kisiasa. Akaenda Mbunge wa jimbo hilo ndg Miraji Mtaturu akakuta kuna ubadhirifu wa kutisha akasikitika Almanusra alie akadai atashtakia mamlaka za juu , akapiga kelele watu wa TAMISEMI wakaenda wakaadaliwa report Fake wakadanganywa na waharibifu kua kituo kipo hatua za mwisho na wao wakatoa recommendations zao kizembe bila kuujua ukweli kianze kutumika .
DC na timu yake wakamuru kituo kianze kutumika hakuna mifumo ya maji, hakuna umeme,majengo mengine hayajapauliwa, wataalam wawili tuu wakapelekwa kule.
Mpaka sasa kituo hicho hakieleweki na pesa zilishapigwa. DC akibanwa sana ansrudha mpira kwa DED Justine Kijazi kua yeye ndio anajua kila kitu. Hiki hali ni mbaya zaidi ya kile cha Irisya.

3.KULIPA FIDIA KUHAMISHA WANANCHI KUPISHA UPANUZI WA MGODI WA SHANTA MINE.
Awali wananchi wa kijiji cha Mang'onyi walikataa fidia ndogo iliyotolewa na Mmiliki wa migodi kwa maana ya kutolingana na thamani halisi ya eneo lao. Cha ajabu zaidi DC Jerry Muro alijigeuza kua Dalali wa mgodi huo kujifanya kusuluhisha wananchi na mgodi huo kuwashawishi wakubali fidia hiyo. Kitu hicho kilizua hofu kwa wananchi ni kazi ya DC kutetea Mgodi? Alipewa nini na mgodi wa Shantamine mpaka awe mtetezi wao? Kwanini hakutaka kusikia kabisa wananchi wakienda kudai haki zao mahakamani kama waliona fidia ni ndogo? Ikikataa fidia utaambiwa mchochezi unaichafua serikali.

4.UGAWAJI WA VIWANJA KATA YA ISUNA.
Inasemekana kuna Wawekezaji wanaohitaji kufungua shughuli za kilimo waliletwa na DC na team yake walizuiwa viwanja katika kata ya Issuna kwa bei ya kutupwa kabisa hali iliyozua minong'ono mingi miongoni mwa wananchi, waliohoji sana kwanini walilipwa pesa kidogo kuporwa maeneo yao na kupewa wawekezaji? Wananchi walitishwa na Mamlaka kwa kuitwa wachochezi.
Hivyo kuna harufu ya rushwa baina ya Ofisi ya DC na Wawekezaji hao.

Kiufupi Wilaya ilikuwepo kama vile haina uongozi. Ni hayo machache mengine ni ya kumsamehe tu ndugu huyu.

Pia soma: DC Jerry Muro atishia kuumiza na kupoteza watu wanaodai katiba
 
Kama yote hayo ni kweli basi yuko poa !!
 
Team sabaya wote wanafyekwa mdg mdg.
Next anafata mnyeti kwny mkeka wa maRC[emoji4]
 
Amachafuka Mno Baadaye Atakuwa Chawa Mkuu
 
Jerry Muro ni miongoni mwa waliotamba Sana enzi za dikteta
 
Kazi za DED hizo
 
Back
Top Bottom